Ojode, Jonathan Otieno
(Kisii University, 2017-11)
Mawasiliano ni suala la msingi katika maisha ya kila siku ya mwanadamu. Ni mojawapo ya nyenzo anazotumia mwanadamu kwa lengo la kupasha habari kwa walengwa wake. Anaweza akaonyesha hisia za furaha, huzuni, mapenzi au hata ...