Mumo, King’oo Faith
(Kisii University, 2025-10)
Katika uwasilishaji wa kazi yoyote ya kifasihi, lugha huwa kipengele cha umuhimu sana.
Utafiti huu ulinuia kuchunguza lugha ya kisitiari katika usawiri wa masuala ya kisiasa katika
riwaya ya Kiza katika Nuru na Chozi la ...