Ogutu, Peter Okoth
(Kisii University, 2018-11)
Utafiti huu ulilenga kuchanganua matumizi ya agoti miongoni mwa wafungwa wa magereza ya Kisumu. Utafiti huu utachangia tafiti katika taasisi na vyuo vikuu kwa sababu uliibua muktadha wa matumizi ya lugha ambao haujatafitiwa ...